Taswira katika banda la Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha katika viwanja vya nane nane njiro
Wafanyakazi wa kituo cha Redio 5 wakiwa katika banda lao katika viwanja vya nane nane njiro Arusha
Katikati ni meneja masoko wa kampuni ya Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 Sarah Keiya,kushoto ni Clara moita na Ashura Mohamed watangazaji maarufu wa kituo hicho wakiwa kwenye banda lao katika viwanja vya nane nane njiro Arusha
Hapa ni Production meneger Deo Gee maarufu kama “dj Deo G” na Tonnie Kaisoi wakiweka mambo ya muziki sawa
Meneja masoko wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio5 Sarah Keiya na Pamela Mollel mmiliki wahttp://jamiiblog.co.tz katika pozi
Ashura Mohamed mtangazaji na mwandishi wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha akiwa katika pozi na Meneja masoko wa kampuni hiyo Sarah Keiya
Dj Deo G na Sarah Keiya wakiwa wanafurahia jambo ndani ya banda la Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5
Kampuni ya Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha imetangaza punguzo la asilimia 30% kwa m
No comments:
Post a Comment