Hakika ni utukufu wake Mungu na pia nitoe shukrani kwa wazazi wangu wapendwa Baba yangu mzazi na marehemu Mama yangu mzazi kwani bila wao nisinge kuepo.
Ni mengi nimepitia lakini kwa uwezo wa Mungu alie juu mpaka leo nipo na bado naendelea kuwepo kwa utukufu wake
Natamani niwataje nyoote majina humu lakini naona sitaweza kwani wewe ni mmoja kati ya marafiki wangu wapendwa wanaonipenda na kuniombea mafanikio kila iitwapo leo nawashukuru sana kwa wema na mapenzi yenu kwangu .
Namshukuru Mungu wetu ,Mungu wa upendo Mungu wa Amani kwa kunilinda na kunitunza na mabaya yote hadi kufikia leo hii ninapo timiza miaka kadhaa.
Shukran zangu ziwafikie nyie wote marafiki zangu kwa kunipenda na kunishauri kwa mambo mema yenye kujenga

No comments:
Post a Comment