Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo huku mkewe, Mama Salma, akisubiri zamu yake wakati walipokwenda kuomboleza na kuwafariji wafiwa kwa msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu, marehemu Abel Mwaisumo, aliyefariki juzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es Salaam leo, Agosti 16, 2013.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuomboleza na kufariji wafiwa kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013.
Mama Salma Kikwete akifariji wafiwa wakati yeye na Rais Kikwete walipokwenda kuomboleza na kutoa pole kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiomboleza na kufariji wafiwa katika msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu mstaafu wa Ikulu, Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa akitibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013. (Picha zote na IKULU)
No comments:
Post a Comment