Tuesday, July 29, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA MAZISHI YA DK KAPOLI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika mazishi ya Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dk, Irenius  Kapoli, nyubani kwa Marehemu, Mbezi Malamba Mawili jijini Dar es Salaam .
 Waomboleaji wakiwa  wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dk, Irenius Joseph Kapoli, katika mazishi  yaliyofanyika nyubani kwa Marehemu,  Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014
 Mwili wa  aliyekuwa Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini,  Dk, Irenius Joseph Kapoli, ukitemswa kaburini katika mazishi  yaliyofanyika  nyubani kwa Marehemu,  Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014.

No comments:

Post a Comment