Kwa Mara ya kwanza kabisa Cannibal kutoka pande flani za 254 ataiwakilisha East Africa pande za Dubai ijumaa ya tarehe 8 mwezi ujao ndani ya Rock City,Howard Johnson hotel,milango itafunguliwa kuanzia saa mbili usiku,mcheck Cannibal hapa http://youtu.be/ L1IDag0vj5Y akizungumzia show hiyo.
No comments:
Post a Comment