Monday, November 25, 2013

CHADEMA KIGOMA KASKAZINI WAANDAMANA WATAKA VYEO VYOTE VYA ZITTO VIREJESHWE LASIVYO WATAKIHAMA CHAMA






Siku mbili mara baada ya Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe kutangazwa kuvuliwa nyadhifa alizokuwa nazo katika uongozi wa juu chama hicho, wanachama wa chama hicho jimboni mwake wameandamana kila kona ya mji wakiwa na mabango huku wakichoma bendera na baadhi ya picha za viongozi wao kupinga uamuzi huo wa chama.
 
Aidha wanachama hao wa CHADEMA Kigoma Kaskazini wamekitaka chama hicho kutengua maamuzi waliyochukuliwa dhidi ya Mbunge wao kama sivyo 

No comments:

Post a Comment