Sunday, November 10, 2013

HII INAKUHUSU WEWE MPENDA BURUDANI

Hii si ya kukosa mazeee
ARUSHA ART & MUSIC PROMOTION kwa kushirikiana na SUNRISE RADIO 94.8 FM inamleta kwenu wewe mkazi wa Arusha na Mikoa ya jirani TONYA TIME aka TONYA BUSINESS katika Ukumbi wa ACTIVE NIGHT CLUB MBAUDA,Ni tarehe 16/11/2013 kwa kiingilio cha 7,000/= tu mlangoni.TONYA BUSINESS atasindikizwa na wakali wa Arusha wanaofanya poa kwa sasa,JENGO MOB,THE BIG NATION,MAVERE WAKAYI,ABBY K,HD,na PARADISE.

No comments:

Post a Comment