Friday, November 15, 2013

Rais Kikwete afanya mazungumzo na Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa, wakati akihudhuria Mkutano wa Jumuiya ya Madola nchini humo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa, alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees, jijini Colombo leo,  Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola mwaka huu (CHOGM 2013), jijini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa, akielekea kwenye ukumbi wa mazungumzo, alipomtembelea kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola mwaka huu (CHOGM 2013). 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni alipowasili na mwenyeji wake Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa kwenye  jengo la Temple Trees jijini Colombo leo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola mwaka huu (CHOGM 2013). 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa, alipomtembelea kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola mwaka huu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na mwenyeji wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na mwenyeji wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola mwaka huu nchini humo. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment