DR MATARO SABAY AKIFANYA MAHOJIANO NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MPANGO WA USHIRTIKIANO BAINA YA HALMASHAURI NA WAMILIKI WA MIGODI KATIKA KUPANGA MAENDELEO YA JAMII ILI KUEPUKA SEKTA HIZO MBILI KUWA NA MPANGO MMOJA KWA WAKATI MMOJA NA BILA KUJULISHANA
|
ENGINEER LAURIAN J.R. RWEBEMBERA KUSHOTO AKIFUATILIA KWA MAKINI MAELEZO YA DR MATARO SABAI
WASHIRIKI MBALI MBALI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MKUTANO WA KUJADILI NJIA ZITAKAZO TUMIKA KATIKA KUHAKIKISHA KUWA WAMILIKI WA MIGODI NA HALMASHAURI ZINASHIRIKIANA KATIKA KUADILI NA KULETA MAENDELEO BADALA YA KILA SEKTA KUFANYA BINAFSI NA KUJIKUTA WAKIPOTEZA MUDA KATIOKA KUJADILI JAMBO MOJA LA MAENDELEO BILA KUJULISHANA MKUTANO HUO UMEFANYIKA JANA KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE KIVUKONI DSM PICHA ZOTE NA GASAPER SAMBWETI WA Www.http://sambweti .blogspot .com
WASHIRIKI MBALI MBALI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MKUTANO WA KUJADILI NJIA
ZITAKAZO TUMIKA KATIKA KUHAKIKISHA KUWA WAMILIKI WA MIGODI NA
HALMASHAURI ZINASHIRIKIANA KATIKA KUADILI NA KULETA MAENDELEO BADALA YA
KILA SEKTA KUFANYA BINAFSI NA KUJIKUTA WAKIPOTEZA MUDA KATIOKA KUJADILI
JAMBO MOJA LA MAENDELEO BILA KUJULISHANA MKUTANO HUO UMEFANYIKA JANA
KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE KIVUKONI DSM PICHA ZOTE NA GASAPER
SAMBWETI WA Www.http://sambweti .blogspot .com

KULIA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA BWANA ALI KIDWAKA NA KUSHOTO NI MTENDAJI WA WILAYA YA SIMANJIRO BWANA MUHAMAD NKYA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MKUTANO HUO WA MPANGO WA USHIRIKIANO BAINA YA WAMILIKI WA MIGODI NA HALMASHAURI KATIKA KULETA MAENDELEO YA JAMII
WASHIRIKI MBALI MBALI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MKUTANO WA KUJADILI NJIA
ZITAKAZO TUMIKA KATIKA KUHAKIKISHA KUWA WAMILIKI WA MIGODI NA
HALMASHAURI ZINASHIRIKIANA KATIKA KUADILI NA KULETA MAENDELEO BADALA YA
KILA SEKTA KUFANYA BINAFSI NA KUJIKUTA WAKIPOTEZA MUDA KATIOKA KUJADILI
JAMBO MOJA LA MAENDELEO BILA KUJULISHANA MKUTANO HUO UMEFANYIKA JANA
KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE KIVUKONI DSM PICHA ZOTE NA GASAPER
SAMBWETI WA Www.http://sambweti .blogspot .com
MPANGO HUO WA USHIRKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI NA HALMASHAURI INAYOZUNGUKA MIGODI INATARAJIWA KUFANYIKA TAFITI ILI KUBAIN NI KWA NAMNA GANI WAMILIKI ,HALMASHAURI NA WANANCHI WANAWEZA VIPI KUSHIRIKIANA KATIKA KULETA MAENDELEO KATIKA JAMII BILA KUINGILIANA
SEHEMU AMBAZO ZITAFANYIWA UCHUNGUZI ILI KUFANIKISHA MPANGO HUO NI
1.TARIME
2.GEITA
3.SIMANJIRO
4.KILWA.
5.BAGAMOYO
6.CHUNYA
7.SINGIDA
NA BAADHI YA SEHEMU AMBAZO ZITAPATA NAFASI YA KUFANYIKWA MPANGO MKUBWA WA KUHAKIKISHA WANANCHI WANAOISHI KARIBU NA MIGODI WANAWEZESHWA ILI KUWEZA KUTOA HUDUMA MUHIMU KWA WACHIMBAJI NA WAFANYAKAZI WA MIGODINI ILI KULETA MAENDELEO NCHINI .
|
No comments:
Post a Comment