Monday, November 25, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua Mkutano wa Ushirikiano


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiimba wimbo wa taifa na baadhi ya viongozi wengine kabla ya ufunguzi wa  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius Nyerere jijini Dares Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)

Baadhi ya wajumbe wakiwa  katika mkutano huo wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China  katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Mwalimu  Julius Nyerere jijini Dares Salaam uliofanyika leo.
Baadhi ya wajumbe wakiwa  katika mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China  katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Mwalimu Julius K. Nyerere jijini Dares Salaam. uliofanyika leo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo leo na  Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI), Hawa Ghasia wakati mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius Nyerere jijini Dares Salaam.
Balozi wa China nchini,  Lu Youqing akitoa hotuba ya kufungua  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius Nyerere jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba ya kufungua  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam. (Picha zote na Margreth, Maelezo)

No comments:

Post a Comment