Friday, December 6, 2013

Shindano la Mama Shujaa wa Chakula Mtandaoni lafikia tamati


Ezeline Mujila


 Balozi wa Grow Masoud Kipanya (kati) Eluka na Bonda Boy (kulia) wakifurahia matokeo.
 Bi Anna Maembe Katibu Mkuu Wizara Ya Maendeleo  Ya Jamii Jinsia Na Watoto akkiasema machache

Mdau Bill Marwa na Marc Wegerif kutoka Oxfam.
 Gloria Kidulile

Khadija Mwanamboka, Balozi Wa Kampeni Ya Grow akifafanua jambo.
 Mkamiti Mgawe Afisa Mradi Haki za Kiuchum  kutoka Oxfam akiongea
 Mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa chakula mtandaoni Neema Urasa Kivugo kutoka Kibaya Kiteto akifurahia na kushangiliwa baada ya kutangazwa matokeo

Mshindi Neema Urasa akipongezwa  na Shamim Mwasha
 Mwakilishi Kutoka TAWLAE akifurahia haki kutendeka
 Neema Urasa kabla ya kutangazwa mshindi
Wageni  waalikwa

No comments:

Post a Comment