Monday, December 16, 2013

UFUNGUZI RASMI WA OFISI YA AZAM TV

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Azam Media,Yussuf Bahresa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Televisheni yao ya Azam kwenye makao makuu yao yaliopo Pugu Road,jijini Dar es Salaam leo.

 Mkurugenzi mtendaji wa Azamtv, bwana Yusuf Bakhresa akizungumza na waandishi wa habari leo.
Mkurugenzi mtendaji wa Azamtv, bwana Yusuf Bakhresa akisalimiana na wasanii wakati wa ufunguzi wa ofisi ya AZAMTV siku ya jumatatu tarehe 16 Desemba 2013

No comments:

Post a Comment