Monday, February 24, 2014

COCACOLA GOOD TIME YA UKWELI MWANZA DIAMOND AFUNIKA

 
Diamond na Crew yake nzima ya wasafi wakitoka katika hoteli waliyofikia.
 
 
Palikuwa hapatoshi aisee..
 
Pichani ni binti ambaye alishindwa kujizuia na kuamua kwenda kumsalimia Rais wa Wasafi jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment