Tuesday, February 25, 2014

LAKE OIL GAS INDIAN FOOD FESTIVAL YAFANA


 Dj akiwa makini kuhakikisha watu wanaburudika na miziki 
mizuri ya Kihindi wakati wa Tamasha la  LAKE GAS INDIAN FOOD 
 lililofanyika Jumapili Oysterbay jijini Dar es salaam
 Mandhari ya eneo la tukio
 Palipendeza
 Mama na mwanae akionekana ni mwenye furaha
 Mstahiki Meya wa Kinondoni Mhe Yusuf Mwenda
 akipokea zawadi ya unga kutoka kwa mwakilishi wa banda la Azam
 Mstahiki Meya wa Kinondoni Mh.Yusufu Mwenda(kushoto)
akifatiwa na balozi wa India Mhe.  Debnath Shaw na familia zao.
 Mh.Yusuf Mwenda(kushoto) na balozi wa 
India wakipata maelezo kutoka kwa mwakilishi wa Azam
 Mhudhuriaji akipewa maelezo jinsi ya kucheza mchezo 
wa kulenga shabaha
 Mshindi wa shindano la kutengeneza chapati kwa 
watoto akipokea zawadi kutoka kwa mwakilishi wa Azam
 Mstahiki Meya akipata maelezo kutoka kwa mmoja 
wa washiriki wa Lake Gas India Food Festival
Mtoto akitengeneza chapati kwenye shindano la 
kutengeneza chapati kwa watoto chini ya miaka 14
 Mtoto akiwa amesimamiwa na wazazi wake 
akitengeneza cha[ati katika shindano  la kutengeneza 
chapati kwa watoto chini ya miaka 14
 Mtoto ambaye ni mshindi wa shindano la kutengeneza chapatina mama yake kipokea 
zawadi ya Azam Atta
 Mwakilishi kutoka Lake Gas akibadilishana mawazo na balozi 
wa India nchini Tanzania.
 Wahudhuriaji wakiwa wamekaa
 Wapishi kutoka kwenye mgahawa wa Haandi wakiwa makini kuandaa chakula.
 Michezo ya watoto pia ilikuwapo
Watoto wakiwa kwenye shindano la kucheza miziki ya Kihindi.

No comments:

Post a Comment