![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhD1G0WbmAs2heMujq0zp5CYwqOBpRo4n_jezAwa8Ndbx-vKgW4qAMCPc2AIct_9_K_EaDUVA8jXbjavu3G_hVkZ8YPZmIlTyP7ozJqaQ02BBOUWiO0BW9VzdP6UKS124urLDL3s5kn3vSk/s1600/Astarc1.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEij-JUePR8nklQ4TjLAO-1oo9N2tHUPFEsc79MkbHNnJ-TaTHNfyxwM-gV9mCPBh_fRBuB45nRaDeNMRZPATrZ4gg4S4dndOPoSoFW-qUyCIbCYTHUuf0ZeLmKaENnf-J-EqpCpJBhGF-1T/s1600/Astarc2.jpg)
Subhash Patel ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Pikipiki mpya aina ya Hero Dawn akijaribu moja ya pikipiki aina ya Hero Karizma inayotengenezwa na kusambazwa na kampuni ya Astarc Group
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa aina mpya ya Pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn Bw. Subhash Patel (kushoto) akiteta jambo na Afisa Uhusiano wa kampuni ya Astarc Group Bw. Mukesh Joshi leo jijini Dar es Salaam. kulia ni Mkurugenzi wa Astarc Group Africa Bw. Sameer Musale
Mkurugenzi wa Astarc Group Africa Bw. Sameer Musale akitoa historia fupi ya kampuni ya Astarc ambayo ni watengenezaji na wasambazajiwa pikipiki aina ya Hero ambazo zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya Astarc Group akimkaribisha mgeni rasmi Bw, Subhash Patel (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa aina mpya ya pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn.
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa aina mpya ya pikipiki Hero Dawn Bw. Subhash Patel akizungumza na waaandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa aina mpya ya pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn(Pesa zaidi mfukoni) mapema leo jijini Dar es Salaam.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhB8t-K9FhMDCN4X8Lmx9Scl3lIN2g6BBRaHrv9FrgpAGLO74W2v1rYOvfnAuOHIgEzPq6aORDLFaVzMZ4nTPeFLZ6krqBOxtvJekgYXx8bSCAREjeVkdcp1qOCU8JmKs0hvqkk4H3eghBS/s1600/Astarc8.jpg)
Baadhi ya wananchi wakijibu maswali mbalimbali kuhusu pikipiki aina ya Hero Dawn wakati wa uzinduzi wa pikipiki hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi, Subhash Patel pamoja na uongozi wa kampuni hiyo, wakifurahia uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment