Monday, February 17, 2014

MTANGAZAJI WA MJ FM ARUSHA DJ HAAZU AZINDUA WEBSITE YAKE MPYA

Displaying haazu.com 2.jpgMtangazaji, Dj na Producer/muandaaji wa vipindi  wa Kituo cha Radio MAMBO JAMBO (MJ) FM Arusha Hamis Abtway Maarufu kama DJ Haazu amezindua rasmi Tovuti (Website) yake mpya www.haazu.com  iliyolenga Kuukuza Mziki wa Tanzania na Afrika Mashariki Kiujumla.

Website hiyo itakuwa ikitoa Habari zinazokwenda kwa wakati pia Burudani zaidi, nyimbo Mpya na Video za nyimbo za Nyumbani ili kuzifikisha katika hatua za  kimataifa zaidi huku piaikiwa mstari wa mbele katika  kukupa Habari za Burudani za Kimataifa ili kuonyesha tofaut kati ya  wasanii wetu na  wao, yote ni ili kujua Tunafanya nini  kufikia hatua  ya Kimataifa Kwa kushirikiana na wadau na Website/mitandao mingine  Pendwa Nchini.

Kupitia website/tovoti  hiyo Haazu ana imani kubwa kuwa atakuza Mziki wetu kwa kiasi kikubwa kutokana na mtandao  mkubwa aliyo nayo kwa sasa huku pia watu wakizipata Habari zote zitakazokuwa zikitoka kwenye Vipindi vyake Vyote anavyoviendesha MJ FM kama vile DUNDO, EA MIX nk.

UNAWEZA KUTEMBELEA WEBSITE HIYO HAPA >>>>www.haazu.com

NA HIZI HAPA NI BAADHI YA PICHA ZA MUONEKANO WA WEBSITE HIYO
Displaying haazu.com 1.jpg
Displaying haazu.com 3.jpgDisplaying haazu.com 4.jpg
Displaying haazu.com.jpg

No comments:

Post a Comment