Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza (kulia) na Hezekiah Chibulunje, wakizungumza jambo wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kikao cha asubuhi, mjini Dodoma leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, viongozi wa Umoja wa Utetezi wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wa Chadema, Freeman Mbowe, wakijadili jambo wakati walipokuwa wakitoka kwenye kikao chao cha umoja huo leo asubuhi kwenye ukumbi wa Bunge wa Msekwa, mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mussa Zungu (kushoto), akimuonesha kitu kwenye simu, mjumbe mwenzake, Kingunge Ngombale Mwiru, wakati walipokuwa wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge, mara baada ya Mwenyekiti wa bunge hilo, Samuel Sitta kuliaghirisha mpaka jioni.
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka CCM, wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge, mara baada ya Mwenyekiti wa bunge hilo, Samuel Sitta kuliaghirisha mpaka jioni.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akiteta jambo na Mchungaji Ernest Kadiva (kushoto) na Askofu Donald Mtetemela (kulia), ndani ya ukumbi wa Bunge, mara baada ya Mwenyekiti wa bunge hilo, Samuel Sitta, kuliaghirisha mpaka jioni leo.
No comments:
Post a Comment