Mganga
Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia)
akichangia mada wakati wa wa kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya
mji huo (CHMT) pamoja na Madiwani wa Kata mbali mbali za Korogwe, Tanga
kujadili mchakato wa kubadilisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii
(CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi
(TIKA). Kikao hicho cha pili kimefanyika leo Machi 26, 2014 katika
ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga. Pembeni ni mgeni rasmi
aliyekaribishwa kuendesha kikao hicho, Diwani wa Kata ya Ngombezi ambaye
ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya, Maji na Uchumi (katikati) na
Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto).
Diwani wa
Kata ya Ngombezi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya, Maji na
Uchumi akiendesha kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya mji huo
(CHMT) pamoja na Madiwani wa Kata mbali mbali za Korogwe, Tanga kujadili
mchakato wa kubadilisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF)
kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA).
Kikao hicho cha pili kimefanyika leo Machi 26, 2014 katika ukumbi wa
Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Pembeni ni Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa
wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto) na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya
mji Korogwe, Jerry Mwakanyamale (kulia).
Meneja wa
Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto) akieleza
umuhimu wa matumizi ya Tiba kwa Kadi (TIKA) wakati wa kikao cha Kamati
ya Afya ya halmashauri ya mji huo (CHMT) pamoja na Madiwani wa Kata
mbali mbali za Korogwe, Tanga kujadili mchakato wa kubadirisha sheria
ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya
Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha pili kimefanyika
leo Machi 26, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe,
Tanga. Pembeni ni mgeni rasmi aliyekaribishwa kuendesha kikao hicho,
Diwani wa Kata ya Ngombezi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu,
Afya, Maji na Uchumi (katikati) na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji
Korogwe, Jerry Mwakanyamale (kulia).
Mwenyekiti
wa Vibindo, Gaston Kikuwi akiongoza ni Wajumbe wa kamati ya afya ya
halmashauri ya mji wa Korogwe, Tanga (CHMT) kutoa pongezi wa waheshimiwa
madiwani kuweza kupokea kwa mikono miwili mpango wa Tiba Kwa Kadi
(TIKA).
Wajumbe wa kamati ya afya ya halmashauri ya mji wa Korogwe, Tanga (CHMT) wakifuatilia kwa makini.
Wajumbe wa kamati ya afya ya halmashauri ya mji wa Korogwe, Tanga (CHMT) wakifuatilia kwa makini.
Waheshimwa
Madiwani wakifuatilia kwa makini kikao hicho, toka kulia ni Diwani wa
Kata ya Kwamsisi, Mheshimiwa Nassoro Hassan, Diwani wa Viti Maalum
Halmashauri ya Mji Korogwe, Mheshimiwa Neema Isack pamoja na Diwani wa
Kata ya Magunga, Mheshimiwa Mariam Ngonyani (Mama Maji Marefu).
Mratibu
wa Ukimwi (CHAC) wa Halmashauri ya Mji Korogwe ambaye pia ni Mjumbe wa
kamati ya afya ya halmashauri ya mji wa Korogwe, Tanga (CHMT),
akichangia mada.
Diwani wa Viti Maalum Halmashauri ya Mji Korogwe, Mheshimiwa Neema Isack akitoa msimamo wake katika mada iliyokuwa ikijadiliwa.
Diwani wa
Kata ya Kwamsisi, Mheshimiwa Nassoro Hassan akiongea machache wakati
akichangia mada. Pembeni ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa
Korogwe, Jerry Mwakanyamale.
Diwani wa
Kata ya Kwamsisi, Mheshimiwa Nassoro Hassan akiongea machache wakati
kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya mji huo (CHMT) pamoja na
Madiwani wa Kata mbali mbali za Korogwe, Tanga kujadili mchakato wa
kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika
Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha
pili kimefanyika leo Machi 26, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji
wa Korogwe, Tanga. Pembeni ni Afisa Matekelezo na Uratibu wa Bima ya
Afya, Singida Bw. Issaya Shekifu (kushoto) na Mganga Mkuu wa Halmashauri
ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (kulia).
Mwenyekiti
wa Vibindo, Gaston Kikuwi akijadili jambo na Diwani wa Viti Maalum
Halmashauri ya Mji Korogwe, Mheshimiwa Neema Isack.
No comments:
Post a Comment