Thursday, March 6, 2014

Vikao vya Bunge Maalum la Katiba vyaendele na Utayarishaji wa Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo, mjini Dodoma

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Gaudentia Kabaka (kushoto), akizungumza jambo na mjumbe mwenzake, Anna Abdalla wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kikao cha bunge hilo, mjini Dodoma jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakielekea kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kikao cha bunge hilo, mjini Dodoma jana. 
Wajumbe Mohammed Aboud (kushoto) na Mohamed Misanga, wakijadili jambo nje ya ukumbi wa bunge hilo.

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Ameir Kificho akifafanua jambo wakati wa kikao cha bunge hilo jana.
Wajumbe Mohamed Seif Khatib na Anna Makinda wakijadili jambo ndani ya ukumbi wa Bunge.
Mjumbe John Mnyika (kulia), akichangia moja ya vifungu vya Rasimu ya Kanuni za bunge hilo.
Mjumbe Ole Sendeka akichangia hoja ya Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo.
Mjumbe Profesa Ibrahim Lipumba akichangia hoja wakati wa kikao cha Bunge hilo.
Mjumbe Samwel Sitta (kushoto), akizungumza jambo na wajumbe wenzake wa bunge hilo ndani ya ukumbi wa Bunge.

No comments:

Post a Comment