Thursday, March 6, 2014

BREAK NEWS MOTO WATEKETEZA NYUMBA YA VYUMBA KUMI JIJINI ARUSHA

Baraka Sunga's photo. 

moto mkubwa umeteketeza nyumba ya vyumba kumi ambayo inamilikiwa na mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa majengo makubwa jiji Arusha ndugu Adam Mollel.

 Chanzo cha moto huo bado hakijathibitishwa ingawa kwa mujibu wa wapangaji wamesema kuwa huenda ikawa shoti ya umeme ama moto wa gesi ambao umetokana na mmoja wa wapangaji kuacha mapishi yake jikoni.







Jeshi la polisi limekuwa msaada mkubwa tangu mwanzo wa tukio hadi wakati huu huku idara ya zimamoto ikisimamia uzimaji kwa kushirikiana na wananchi.

HABARI NA PICHA KUTOKA KWA MHARIRI MKUU BARAKA SUNGA SUNRISE RADIO ARUSHA   

No comments:

Post a Comment