Thursday, May 8, 2014

Balozi Seif awasili Arusha kufunga mkutano wa Majaji Wanawake


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akisalimiana na Jaji Mkuu wa TanzaniaMohamed Chande Othman jijini Arusha leo, wakati alipofika kwa ajili ya kuufunga Mkutano wa 12 wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani (IAWJ), unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano (AICC)Nyuma ya Mh. Chande ni Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mh. Omar Othman Makungu.
 





No comments:

Post a Comment