![]() |
Mgeni rasmi akiandaliwa shimo la kupanda mti wa kumbukumbu |
![]() |
Mgeni rasmi Bw Kenneth Komba akijiandaa kupanda mti uliopewa jina la Mchawakama |
![]() |
Bw Komba akiupanda mti huo |
![]() |
Wana chama wa Chawakama wakirejea ukumbini |
![]() |
Msanii akiburudisha |
![]() |
Mwenyekiti wa Chawakama akizungumza machache |
![]() |
Wanachama wakiwa ukumbini |
![]() |
Mlezi wa chama cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve akitambulisha wageni |
![]() |
Mmoja kati ya viongozi akieleza malengo ya Chawakama |
![]() |
Mwalimu Chalamila akieleza maana ya lugha ya kiswahili |
![]() |
Mwalimu wa kiswahili chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu akiburudisha |
![]() |
Wanachama wakicheza na msanii huyo |
![]() |
Mgeni rasmi Bw Komba akitzindua tawi hilo |
![]() |
Viongozi wapya na wazamani wakitambulishwa mbele ya mgeni rasmi |
![]() |
Keki ya uzinduzi |
![]() |
Mwalimu Tulla akifurahia keki baada ya kulishwa na mgeni rasmi |
![]() |
Mgeni rasmi Bw Komba akilishwa keki na mwalimu Tulla |
![]() |
Mwalimu Chalamila aliyekaa akifurahia jambo |
![]() |
mgeni rasmi Keneth komba wa tano kushoto akiwa na wanachama wa CHAWAKAMA |
![]() |
Chuo kikuu cha Iringa habari picha kwa hisani ya michuzi blog |
No comments:
Post a Comment