Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akiongea katika uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wageni na wafanyakazi wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa Kituo Kipya cha Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Gari litakalotumiwa katika mashindano ya Magari yanayotarajia kufanyika Mwishoni mwa wiki.
Wateja wakipatiwa huduma na wafanyakazi wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania.
Meneja Mauzo wa Vilainishi vya Castrol, Gilbert Chacha akizungumza wakati wa uzinduzi ambapo alisema kuwa Vilaainishi vya Castrol vina ubora wa kimataifa na hutumika katika magari, viwanda, meli, ndege. Kwa sasa wana aina mbili za Vilainishi hivyo Castrol GTX 20W50 na GTX Diesel 15W40. Pembeni yake niMshereheshaji Shebe Machumani na dereva wa gari la Mashindano.
Meneja wa Usalama wakati wa Kazi wa Kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Jonathan Mmari akizungumza machache.
Walioko mbele kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt. Ben Moshi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakiwa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akionyesha picha ya sanamu itakayotumika kutambulisha vilainishi vya Castrol wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji Shebe Machumani.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti na Mshereheshaji Shebe Machumani wakionyesha vilainishi vya Castrol.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akitoa zawadi ya pesa taslimu shilingi laki mbili kwa mfanyakazi bora namba tatu wa Mwezi wa Aprili, Andrew Jagy wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji Shebe Machumani.
Mfanyakazi bora namba mbili wa Mwezi wa Aprili, Samwel Joseph akionyesha pesa taslimu shilingi laki na nusu alizozawadiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji Shebe Machumani.
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt. Ben Moshi akimkabidhi Mfanyakazi bora namba moja wa Mwezi wa Aprili, Janeth Martine pesa taslimu shilingi laki mbili na nusu wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa mwezi Aprili. Kampuni hiyo hutoa zawadi kila mwezi kwa wafanyakazi wanaofanyakazi vizuri. Picha zote na Cathbert Kajuna
No comments:
Post a Comment