Saturday, May 10, 2014

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOANI DODOMA YAFANA SANA LEO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabizi zawadi kwa Mwanafunzi Abi Sambuche wa Shule za Sekondari Lusinde zilizofanya vyema katika mitihani ya mwaka 2013, kwenye maadhimisho ya siku ya Wiki ya Elimu Kitaifa yaliyoadhimishwa leo Mei 10-2014 Mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabizi kikombe na cheti Naibu Waziri wa Habari Mhe. Juma Nkamiya kutokana na Wizara yake kuweza kufanya vizuri katika kutoa mchango wa kufanikisha maadhimisho ya siku ya Wiki ya Elimu Kitaifa yaliyoadhimishwa leo Mei 10-2014 Mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua mpango wa kuboresha Elimu na mpango wa kuwezesha kusoma, kuandika na kuhesabu, kwenye maadhimisho ya siku ya wiki ya Elimu kitaifa mwaka 2013, yaliyoadhimishwa leo Mei 10-2014 Mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akilihutubia Taifa kwenye maadhimisho ya siku ya wiki ya Elimu kitaifa yaliyoadhimishwa leo Mei 10-2014 Mkoani Dodoma.
Msanii anaechipukia muziki wa kizazi kipya Doto Abdalla mwanafunzi wa Darasa la sala katika Shule ya Sekondari Ruangwa Mkoani Lindi, akiimba nyimbo maalum na mbele ya jukwaa kuu la Viongozo, kwenye maaadhimisho ya siku ya wiki ya Elimu kitaifa iliyoadhimishwa leo Mei 10-2014 Mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais wa Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wananchi wa Mkoa wa Dodoma baada ya kulihutubia Taifa kwenye maadhimisho ya siku ya Wiki ya elimu kitaifa Mkoani Dodoma leo Mei 10-2014.
Wasanii Mrisho Mpoto na Banana Zoro, wakitumbuiza kwenye maadhimisho ya siku ya wiki ya Elimu Kitaifa yaliyoadhimishwa leo Mei 10-2014 Mkoani Dodoma.
Wasanii wa maigizo wa kikundi cha Parapanda cha mkoani Dodoma wakionesha maigizo kwenye maaadhimisho ya siku ya wiki ya Elimu kitaifa yaliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma leo Mei 10-2014.
Wananchi wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya Eili kitaifa mkoani Dodoma leo.PICHA NA OMR.

No comments:

Post a Comment