Saturday, May 17, 2014

Nelly Hard ft & BadSpenders-Mbali na Nyumbani

Msanii chipukizi Nelly Hard akiwashirikisha Badspenders pamoja na Freddy katika chorus anakuja na ngoma kwa jina "Mbali na Nyumbani" Ikiwa imerekodiwa juu ya beat ya Machua Touches na vocals pande za Noizmekah studios, 

No comments:

Post a Comment