Tuesday, May 13, 2014

Rais Jakaya Kikwete awaongoza wananchi, wageni mbalimbali kuuaga mwili wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Flossie Gomile Chidyaonga, jijini Dar es Salaam


 Marehemu Balozi Flossie Gomile Chidyaonga wakati wa uhai wake. (Picha zote na Hussein Makame)
Rais Jakaya Kikwete na mke wake  Mama Salma wakipita mbele ya jeneza ulimolazwa mwili wa Marehemu Balozi Flossie Gomile Chidyaonga baada ya kusaini ktabu cha maombolezo.
Rais Jakaya Kikwete na mke wake  Mama Salma wakitoa heshima za mwisho. 
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya familia watu ya marehemu. 
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho.
Makamu wa Rais Dk Bilal akisalimia baadhi ya watu familia ya marehemu.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe akitoa heshima za mwisho. 
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka akitoa salamu za mwisho.
Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Asha Rose Migiro akiwapa mkono wa pole wafiwa baada ya kutoa salamu za mwisho.
 Baadhi ya wanafamilia wakitoa salamu kwa mwili wa marehemu.
 Mmoja wa mabalozi wakitoa heshima kwa mwili wa marehemu.
Baadhi ya jamii ya ushirikiano wa Kidiplomasia wakiwapa mkono wa pole wafiwa baada ya kutoa salamu za mwisho.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe, akizungumza kwa niaba ya Serikali ya Tanzania juu ya msiba huo.
Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Jenerali Mstaafu (RTD Gen.) Edzai Chimonyo akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wawakilishi wa Mabalozi.
Mwakilishi wa Ubalozi wa Malawi nchini ambaye pia ni Naibu Balozi wan chi hiyo Kwacha Chisiza, akimzungumzia marehemu. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe, akitia saini kitabu cha maombelezo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka, akitia saini kitabu cha maombelezo. 
 Balozi wa Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) Abdulla Al-Suwaidi akisaini kitabu cha maombelezo.
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Lietenant General Cl Makakala, akisaini kitabu cha maombolezo.
 Viongozi wa Dini waliongoza shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu.
 Wanakwaya wakiimba mapambio.
 Wanakwaya wakiimba mapambio.
Sehemu ya ndugu wa marehemu wakiwa jukwaa kuu kupokea pole.
Mwili wa marehemu ukiingizwa na kuwekwa kwenye sehemu yake tayari kwa kuagwa.

No comments:

Post a Comment