Wednesday, May 14, 2014

RAIS KIKWETE AHUDHULIA HAFLA YA CHAKULA CHA IONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab wakati wakiingia Ukumbiti tayari kwa kushiriki chakula cha jioni na Wadau mbali mbali wa NSSF wanaohudhulia Mkutano wa Nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF.Tafrija hiyo imefanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi tuzo kwa Makampuni na Mashirika mbali mbali ambayo idadi kubwa ya wafanyakazi wake ni wanachama NSSF,wakati wa tafrija ya Chakula cha jioni iliyofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha leo. 
Mmoja wa wageni waalikwa katika Mkutano wa Nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSS,akiwasalimia wadau.
Seheu ya Wakurugeni wa Mifuki ya hifadhi za Jamii wakiwa kwenye tafrija hiyo.
Wadau Mbali mbali.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Lady Jay Dee akitoa burudani kwenye hafla hiyo.
Mkongwe wa Muziki wa Dansi nchini,Mzee King Kikii a.k.a Mzee wa Kitambaa cheupe akizikonga vilivyo nyoyo za Mashabiki wake wakati wa hafla hiyo.

Kitambaa cheupe juu.

Rais Kikwete pia alijumuika na Wadau wa NSSF kuyarudi mangoma ya Kitambaa cheupe.
Wadau.

No comments:

Post a Comment