| Washiriki wa mkutano huo walipata wasaa wa kusimama kwa muda kuwakumbuka waandishi wa habari waliopoteza maisha wakati wakiwa katika shughuli za kutekeleza majukumu yao. |
| Baadhi ya wageni wakifuatilia hotuba zilizokuwa zikitolewa. |
| Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela aliyemwakilisha mkuu wa mkoa wa Arusha katika mkutano huo akitoa hotuba yake. |
| Msanii Mrisho Mpoto akibadilishana mawazo na waandishi wa habari wakongwe ,pembeni ni Edda Sanga. |
No comments:
Post a Comment