Wednesday, June 4, 2014

George Otieno 'Tyson' aagwa na mamia ya watu katika viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam


Jeneza lenye mwili wa Tyson, likiwa tayari kwenye sehemu ya kuagia, Viwanja vya Leades Club, jijini Dar es Salaam leo.
Mdogo wa marehemu aitwaye Carlo akilia baada ya kuliona jeneza lililobebaa mwili wa marehemu.
Mchungaji Bob Makari wa kanisa la Ocean Community Church alilokuwa akisali marehemu.
Monalisa akiwa katika huzuni
Mtoto wa Tyson aitwaye Sonia akilia kwa huzuni
….akitoa heshima za mwisho kwa marehemu baba yake
Natasha, Sonia na Monalisa wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa ibada kwa marehemu Tyson
Mke wa marehemu Tyson aitwaye Beatrice Shayo (kulia) akiwa na dada yake.
Waombolezaji  wakiwa wamejipanga kuupokea mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’.
Mwili ukishushwa kutoka kwenye gari.
Jeneza lenye mwili wa Tyson, likiingizwa nyumbani.
Mboni Masimba (kati) akiwa na simanzi uchungu nyumbani kwa marehemu George Tyson.
Waigizaji Vanita, Natasha na ndugu wa marehemu wakiwa na huzuni.
Monalisa akiuaga mwili wa Tyson.
Jeneza alimolazwa Tyson.

Beatrice Shayo akilia kwa uchungu.
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ likiwa mbele ya baadhi ya waombolezaji.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere (wa pili kulia) wakisubiri kuongoza shughuli za kuaga mwili wa Tyson.
Aliyekuwa mke wa marehemu, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ (kulia) akilia kwa simanzi pamoja na mwanae aliyezaa na marehemu Tyson, Sonia (katikati).
Mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ ukiwasili Viwanja vya Leaders.
Mwili wa marehemu ukitolewa kwenye gari.
Waombolezaji wakiwa Viwanja vya Leaders jijini dar es Salaam.
Jeneza likipelekwa eneo maalum Leaders. (Picha zote kwa hisani ya Global Publishers)

No comments:

Post a Comment