Wednesday, June 25, 2014

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue afunga maonesho ya Wiki ya Utumishi, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue akitembelea mabanda ya Wizara na Taasisi mbalimbali kabla ya kuyafunga maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja, dar es Salaam jana.

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue (kushoto), akipatiwa maelezo, wakati alipokuwa akitembelea mabanda mbalimbali katika siku ya mwisho ya maonesho ya Wiki ya Utumishi, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Saloaam jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokasia na maendeleo (Chadema), akielezea kuhusu mpango wa Wizara yake wakati wa hafla ya kuyafunga maoneho ya wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Manzi Mmoja Dar es Salaam jana.

Wasanii wa bendi ya OTTU, wakitumbuiza wakati wa ufungaji wa Semina hiyo, Dar es Salaam jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokasia na maendeleo (Chadema), akielezea kuhusu mpango wa Wizara yake wakati wa hafla ya kuyafunga maoneho ya wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Manzi Mmoja Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment