Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Tanzania Bara Philip Mangula, akizungumza jambo katika mkutano wa pamoja kati yake na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao(hayupo pichani) ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti nchini China.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao(wa tatu kutoka kulia) ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti nchini China akiwa katika mkutano wa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wa Tanzania Bara Philip Mangula, (kutoka kushoto wa pili) uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam.

Baadhi ya sehemu ya ujumbe wa mkutano wa pamoja kati Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti nchini China na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wa Tanzania Bara Philip Mangulam, ukiwa katika mkutano huo, uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo.
Mwanasiasa Mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale - Mwiru (kushoto), akijadiliana jambo na Sixtus Mapunda (kulia),Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mara baada kutoka katika mkutano huo.
Mwanasiasa Mkongwe Mzee Kingunge Ngombale - Mwiru akizungumza na waandishi wa habari leo, mara baada ya kutoka katika mkutano wa pamoja kati yake na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao(kulia) ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti nchini China na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Tanzania Bara Philip Mangula, uliofanyika leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)
No comments:
Post a Comment