![]() |
| Foleni kubwa ya wafanyabishara waliokuwa mwenge wakisubiri kupewa vitalu vya kufanyia biashara hapa kituo cha makumbusho muda huu. |
![]() |
| Yani kila mtu anajitahidi kusubiri kwa hamu kupata nafasi ya biashara hapa kituo kipya cha mabasi makumbusho. |
![]() |
| Wengine wakiwa hawajui hatima yao katika ugawaji wa vitalu vya biashara hapa katika kituo cha daladala makumbusho. |
![]() |
| Misululu ni mirefu kwa wafanyabiashara hawa waliokuwa ktuo cha mwenge wakisubiri kupata nafasi za kufanyia biashara katika kituo kipya cha hapa makumbusho. |
![]() |
| (Picha zote kwa hisani ya Franco Singale wa Mwanaharakati Mzalendo Blog) |





No comments:
Post a Comment