Wednesday, June 18, 2014

WAWILI WAFA NA WENGINE 40 WAJERUHIWA

Basi la New force lenye namba za usajili T 925 CGU lilikuwa linatokea Dra es salaam limepata ajali  eneo la Igurusi ,Mbeya na kusababisha vifo vya watu wawili na azaidi ya majeruhi  40

blog hii makini inaendlea kufuatilia tukio hili na litawajulisha pindi habari itakapokamilika pia blog hii inatoa pole kwa wafiwa wote pamoja na majeruhi wote mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi na  mungu awajalie afya njema majeruhi 

No comments:

Post a Comment