Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya mambo ya nje Mh Edward
Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini Koen Adam
aliyekwenda kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Saalam. Walijadiliana masuala mbalimbali yakiwemo suala la mchakato wa
katiba mpya,mzozo katika eneo la nchi za maziwa makuu pamoja na hali
katika Umoja wa Ulaya.
No comments:
Post a Comment