Mjumbe
wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi na Waziri Kiongozi Mstaafu wa
Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha akimsimika Tonny Ngombale Mwiru kuwa kama
wa UVCCM kata ya Kijitonyama.
Kamanda
mpya wa Umoja wa Vijana kata ya Kijitonyama Tonny Ngombale Mwiru
akiwapungia mkono wanachama wa CCM mara baada ya kusimikwa kuwa kamanda
wa UVCCM kata ya Kijitonyama.
Mjumbe
wa kamati kuu ya CCM ambaye pia ni waziri kiongozi wa zamani wa SMZ
Shamsi Vuai Nahodha,katibu wa UVCCM kata ya Kijitonyama Fatuma Mgeni na
kamanda mpya wa UVCCM kata hiyo Tonny Ngombale Mwiru wakifuatilia
jambo.
Kamanda mpya wa UVCCM kata ya Kijitonyama Tonny Ngombale Mwiru akitoa nasaha mara baada ya kusimikwa kushikilia nafasi hiyo.
No comments:
Post a Comment