Wednesday, May 18, 2016

WAZIRI WA FEDHA WA ZANZIBAR AKIINGIA BARAZANI KUWASILISHA BAJETI YA MWAKA 2016/2017 LEO

Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), akiuonesha mfuko wenye hotuba ya Bajeti ya serikali hiyo kwa mwaka 2016/2017, wakati akielekea kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuwasilisha leo.
Juu na Chini: Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, akiuonesha mfuko wenye Bajeti ya Serikali hiyo, wakati akielekea kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuiwasilisha leo. 
Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, akiuonesha mfuko wenye Bajeti ya Serikali hiyo, wakati akielekea kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuiwasilisha leo.
Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, akiuonesha mfuko wenye Bajeti ya Serikali hiyo, wakati akielekea kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuiwasilisha leo.
Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, akielekea kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya serikali hiyo leo.
Waziri akiuonesha mfuko wenye hotuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka 2016/2017.

No comments:

Post a Comment