MAKAMU WA RAIS MAMA SULUHU AWEKA JIWE LA MSINGI WODI ZA WAZAZI HOSPITALI ZA RUFAA MKOA WA DAR ES SALAAM
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za
wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam leo
Oktoba 11, 2016. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye
hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto
katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akikata utepe katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam
kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na
watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam. Pembeni
wanaoshuhudia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Makonda.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipewa maelekezo na wadhamini watakaojenga jengo hilo, Amsons Group.
Moja ya Bango la ujenzi wa wodi ya wazazi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi.
Wageni waalikwa.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke akisoma Risala.
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza machache.
Meya wa Jiji, Isaya Mwita akitoa shukrani.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Andrea Kigwangalla akitoa neno.
Mama Samia Suluhu akikata utepe, hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mkurugenzi wa Amsons Group, Bw. Abdallah Nahad.
Picha ya Pamoja.
No comments:
Post a Comment