Kaimu
mganga mkuu wa hospitali ya Litembo inayomilikiwa na kanisa katoriki
jimbo la Mbinga Dkt Maurus Ndomba kushoto akipokea moja ya shuka 46
kutoka kwa meneja wa Benki ya Nmb tawi la Litembo Kennedy Chinguile
kulia, ili zisaidie katika hospitali hiyo,katikati ni katibu wa afya
Anna Mwenda.
katibu
wa Hospitali ya Litembo Anna Mwenda kulia,akizungumza leo kabla ya
kupokea msaada wa shuka 46 kutok kwa benki ya NMB Tawi la Litembo
wilayani Mbinga,wa pili kulia meneja wa NMB Litembo Kennedy Chinguile na
wa tatu kaimu mganga mkuu wa hospitali hiyo Dkt Maurus Ndomba.
Katibu
wa hospitali ya Litembo wilayani Mbing Anna Mwenda kulia akimshukuru
mmoja kati ya wafanyakazi wa BENKI ya Nmb tawi la Litembo baada ya
kupokea msaada wa shuka 46 kwa jili y amtumizi katika hospitali hiyo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Benki ya Nmb tawi la Litembo wilayani Mbinga wakitoa
misaada mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa katika hopitali ya Litembo
wilayani Mbinga.
Mmoja
wa wagonjwa aliylezw katika hospitali ya Litembo wilaya ya Mbinga
mkoani Ruvuma Folkwati Komba(4)akimwamkia mkono mfanyakazi wa benki ya
Nmb ambaye hakufahamika jina lake mara baada ya benki hiyo kutoa msaada
wa mashuka na vitu mbalimbali.
Wafanyakazi wa Nmb tawi la Litembo wakito misaada kwa mgonjwa aliyelezwa katika hospitali ya Litembo wilayani Mbinga.
Meneja
wa benki ya Nmb tawi la Litembo wilaya ya mbinda Kennedy Chinguile
akimpa pole mtoto Folkwati Komba aliyelazwa katika hospitali ya Litembo
ambapo benki hiyo imetoa msaada wa shuka 46.
Meneja
wa Benki ya nmb tawi la Litembo wilaya ya Mbinga katika mkoa wa Ruvuma
Kennedy Chinguile akimfariji mgonjwa aliyelezwa katika hospitali ya
Litembo wilaya ya Mbinga.
Katibu
wa hospitali ya Litembo wilayani Mbing Anna Mwenda kulia akishukuru
wafanyakazi wa BENKI ya Nmb tawi la Litembo baada ya kupokea msaada wa
shuka 46 kwa ajili ya mtumizi katika hospitali hiyo.
No comments:
Post a Comment