Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Gerson John Mdemu akizungumza na wachezaji wa mpira wa Pete kutoka timu za wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha timu ya mpira wa miguu ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa kada za kawaida kabla ya kuanza Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijin Dar es Salaam.
Kikosi cha timu ya mpira wa miguu ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa kada ya Uwakili wakiwa katika pozi kabla ya kuanza Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijin Dar es Salaam.
Menejimenti ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakishindana kukimbia kwa maguni wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa lililofanyika katika viwanja vya Shule Kuu ya Sheria, leo Jijin Dar es Salaam.
Mshindi wa kukimbia kwa gunia katika timu ya Menejimenti ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bi. Asiatu Msuya akishangilia kwa furaha mara baada ya kumaliza mbio hizo akiwa mshindi wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijin Dar es Salaam.
Timu za wanawake ya kuvuta kamba ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakivutana wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa lililofanyika katika viwanja vya Shule Kuu ya Sheria, leo Jijin Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakicheza Karata wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa lililofanyika katika viwanja vya Shule Kuu ya Sheria, leo Jijin Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakicheza Draft wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa lililofanyika katika viwanja vya Shule Kuu ya Sheria, leo Jijin Dar es Salaam.
Wachezaji wa Netboli wakionyeshana ubavu wakati wa mechi baina ya wafanyakazi wakike Mawakili na Wasio mawakili. Hadi mechi inaisha mawakili walikuwa mbele kwa idadi ya magori 5 -1. (Picha zote na Frank Shija, Maelezo)
No comments:
Post a Comment