Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi Bendera kwa
Timu ya Taifa ya mchezo wa Golf inayotarajiwa kusafiri kwenda Gaborone
Botwsana kushiriki katika mashindano ya chalenji ya Afrika kwa upande wa
Wanawake. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw.
Dioniz Malinzi na Kushoto ni Mkuu wa Msafara wa timu hiyo Mh. Mary
Chetanda.
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla (kulia)
akipokea tiketi za wachezaji kutoka kwa Mkurugenzi wa Biashara wa
Precision Air Bw. Patrick Ndekana ambao ndio waliodhamini usafiri wa
kwenda na kurudi pamoja vifaa vya Michezo vyenye thamani jumla ya zaidi
ya Shilingi Milioni 7. Anayeshuhudia tukio hilo ni Mkuu wa Msafara wa timu hiyo Mh. Mary Chetanda (kushoto).
Pichani
Juu na Chini Wachezaji wa Timu ya Taifa ya mchezo wa Golf
watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Chalenji ya Afrika kwa
upande wa Wanawake yakayofanyika nchini Gaborone Botwsana. Kutoka
kushoto ni Madina Iddi, Ayne Magombe na Hawa Wanyeche katika pozi mbele
ya Camera



No comments:
Post a Comment