Tuesday, May 29, 2012

MOVEMENT FOR CHANGE SASA YAINGIA MTWARA KWA ZIARA YA SIKU 17

ni ndani ya studio za 89.9 safari fm bryson mshana akiwa na mahojiano na viongozi wa chadema
baada ya jopo zima la chama cha demokrasia na maendeleo kuingia katika himaya ya mtwara moja kwa moja waliamua kwenda hadi katika studio za SAFARI RADIO 89.9 FM YA MKOANI MTWARA

hili ni gari la chadema ambalo lilikuwa katika msafara huo wa movement for change

makamanda wa chadema  bila kumsahau mtangazaji mahiri wa safari fm bryson mshana mwenye shati jeusi kati pale


mahojiana yakiendelea

ni bryson mshana akiwa na watangazaji wenzake

kamanda wa vita mh Godbless Lema akiwa on air na Bryson

nguvu ya uma inasimama kuhakikisha haki kwa wote Ziara hiyo ni siku kumi na saba na baada ya hapo mtwara basi wataelekea mikoa ya lindi kueneza M4V (movement for change)


No comments:

Post a Comment