polisi mjini zanzibari wamelazimika kutawanya risasi juu ili kuwatawanya wafuasi wanajiita kikundi cha uamsho huko michenzani zanzibar.
maandamano hayp yamekuja wakati mchakato wa katiba ukiendelea nao wamekuwa mstari wa mbele kuupinga muungano huo nakusema kuwa hauna masalahi kwao.
Polisi ilalazimika kutumia risasi za moto kwa kutawanya juuna mpaka sasa hakuna mtu yeyote ambae amejerehiwa au kudhurika na risasi hizo.
kikundi cha uamsho ni kikundi ccha vijana huko zanzibar walio mstari wa mbele katika kutoa elimu nakuhakikisha kuwa wananchi wa zanzibar hawakubaliani na mchakato wa katiba unaoendelea hivi sasa nchini pote.

No comments:
Post a Comment