Rais wa Ivory Coast awasalini Arusha katika mkutano wa AFDB
RaisJakaya
Mrisho Kikwete akimpokea Rais Allasane Ouattara uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro jijini Arusha leo, akiwa ni mmoja wa wageni
mashuhuri kuhudhuria mkutano wa afDB unaofanyika Jijini humo.
No comments:
Post a Comment