Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla
akikabidhi bendera kwa Timu ya Taifa ya mchezo wa Golf inayotarajiwa
kusafiri kwenda Gaborone Botwsana kwa ajili ya mashindano ya chalenji
ya Afrika kwa upande wa Wanawake.Wapili kushoto ni Mh. Mery Chatanda
(Mbunge).

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla
akikabidhi kiasi cha shilingi milioni kumi kwa mama wa marehemu Steven
Kanumba ikiwa ni rambirambi ya Serikali kwa familia.
No comments:
Post a Comment