Simba
Picha mbalimbali za simba huyo akiwa amekondeana kutokana na kushindwa kula au kuwinda.
Habari hiyo iliwekwa kwenye mtandao huo Mei 21, mwaka huu, na hadi sasa haijulikani kama simba huyo ataokolewa kabla ya kufa kwa njaa.
Tukio hilo linaripotiwa katika vyombo vya habari siku chache tu baada ya moto kuwashwa bungeni juu ya uzembe katika ulinzi wa wanayama pori katika mbuga za wanyama na mapori tengefu, kiasi cha kusababisha biashara haramu ya wanayama hai kushika kasi nchini.
No comments:
Post a Comment