Afisa wa mashtaka wa Misri,
amekata rufaa kupinga hukumu ambayo ilifuta mashtaka ya rushwa dhidi ya
Rais Hosni Mubarak na watoto wake wawili wa kiume, na kufuta piya
mashtaka dhidi ya wakuu wa polisi, kuwa walishiriki kwenye mauaji ya
waandamanaji wakati wa ghasia za mwaka jana.
Hukumu iliyotolewa Jumamosi juu ya rais wa zamani, Mubarak, ilizusha maandamano makubwa mjini Cairo na miji mengine siku ya Jumamosi.
No comments:
Post a Comment