Saturday, June 9, 2012

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROFESA SOSPETER MUHONGO AKUTANA NA WATENDAJI WA KAMPUNI YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YA KIMATAIFA YA SHELL


 Meneja Utafutaji Mafuta na Gesi kutoka kampuni ya Shell International Exploration and Production Dkt. Menno de Ruig akibadilishana mawazo  na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliakim C. Maswi kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
Meneja Utafutaji wa Mafuta na Gesi kutoka kampuni ya Shell International Exploration and Production Dkt. Menno de Ruig akielezea  shughuli  ikiwa ni pamoja na hatua iliyofikiwa ya utafutaji wa mafuta na gesi  wa kampuni hiyo. Kikao hicho kilishirikisha pia Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Mhe. George Simbachawene, Katibu Mkuu wa Wizara Bw. Eliakim C. Maswi ikiwa ni pamoja na wataalamu wa Wizara.

No comments:

Post a Comment