Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwasili ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazenjibara (Wazanzibari waishio Bara), huku akilakiwa na waratibu wa kongamano hilo. (Picha na Kassim Mbarouk-www.blogger.com)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mwenyekiti wa Kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry, alipowasili ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazenjibara (Wazanzibari waishio Bara), jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee, kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazenjibara (Wazanzibari waishio Bara), jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam leo.
Sheikh Saleh Mohamed akisoma dua kabla ya kuzinduliwa kongamano hilo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Mshiriki Abdallah Othman akitoa tamko la Makaribisho kabla ya ufunguzi wa kongamani hilo, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazenjibara, Dar es Salaam leo, kabla ya kumkaribisha makamu wa Rais kuzungumza na kisha kulifungua rasmi kongamano hilo. Katikati ni Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal na kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kongamano hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akilifungua kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazanzibara wanaoishi bara (Wazenjibara), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akilifungua kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazanzibari waishio Bara (Wazenjibara), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akilifungua kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazanzibari waishio Bara (Wazenjibara), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali, wakichukua matukio wakati Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisisitiza jambo kwenye kongamano hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akilifungua kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazanzibari wanaoishi bara (Wazenjibara), Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akilifungua kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazanzibari wanaoishi bara (Wazenjibara), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akilifungua kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazanzibari wanaoishi bara (Wazenjibara), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry, akizungumza jambo wakati wa kuchangia mada kwenye kongamano hilo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mohammed Gharib Bilal.
Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry, akizungumza jambo wakati wa kuchangia mada kwenye kongamano hilo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kaimu Meya wa jiji, Meya wa Maispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda.
Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo, wakisikiliza mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye kongamano hilo leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohammed Gharib Bilal(katikati), akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry, wakati alipolifungua kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazanzibari waishio Bara (Wazenjibara), Dar es Salaam leo.
Dk. Salim Othamn akitoa moja ya mada kuhusu mambo ambayo Wazenjibara, wanayakosa visiwani na Bara.
Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry, akiliongoza kongamano hilo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki, mara baada ya kulifungua kongamano la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazanzibari wanaoishi bara (Wazenjibara), Dar es Salaam leo.
Mshiriki Ibrahim Gulam, akichangia maoni yake kwenye kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo, wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye kongamano hilo leo.
Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo, wakisikiliza mada mbalimbali, zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye kongamano hilo, jijini leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati akilifunga kongamano hilo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati akilifunga kongamano hilo, jijini leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati akilifunga kongamano hilo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, Dk. Saleh Al-Miskry.

No comments:
Post a Comment