Tuesday, July 3, 2012

KUTOKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII:TAARIFA KWA MADAKTARI WALIOPO KWENYE MAFUNZO YA VITENDO (INTERNS)




 


  WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA MADAKTARI WOTE WANAOFANYA MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNS),  WALIOPEWA BARUA ZA KURUDISHWA  KWA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII, WANATAKIWA KURIPOTI MAKAO MAKUU YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII IFIKAPO SIKU YA IJUMAA TAREHE 6 JULAI, 2012.
IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
3/07/2012

No comments:

Post a Comment