Sunday, July 8, 2012

WEMA Vs WOLPER hakuna mbabe

Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa
Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpambano wao  
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
WEMA NA WOLPERwakipozi kwa picha
Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu  picha na 
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio

No comments:

Post a Comment